
OUR SCHOOL MISSION
Is to enable all learners access to learning through the provision of opportunities for community and parents to participate in learning and decision making partnerships.
Kuwawezesha wanafunzi wote kujifunza kwa kutoa fursa kwa jamii na wazazi kushiriki katika kujifunza na kutoa maamuzi ya pamoja.
OUR VISSION
To teach all children to acquire and develop the skills, knowledge and understanding to succeed at all stages of their education and equip them with high inspirations for their future lifelong learning.
Kuwawezesha wanafunzi wote kupata na kuendeleza ujuzi, maarifa, kuelewa na kufanikiwa katika hatua zote za elimu na kuwaandaa kwa ushawishi wa hali ya juu kwa ujifunzaji endelevu.
